Unapopata message ya BAN humu jamvini huwa unajisikiaje?

Unapopata message ya BAN humu jamvini huwa unajisikiaje?

Wewe siwezi kurudia kuandika hapa! Tulipishana maneno na Rejao na bahati nzuri tulifungwa wote....

Tukakutana jela, tukasameheana huko huko jela...mpaka leo tumekuwa marafiki, nzuri zaidi kumbe ni braza angu mtoto wa shangazi, sema hizi id za jf hatukujuana lol..
Umenikumbusha mbalii...
Lakini siku ile ilikuwa too much...lol!
 
Umenikumbusha mbalii...
Lakini siku ile ilikuwa too much...lol!
Mimi wala sitaki kukumbuka manake napata uchungu....sijui nilichanganyiwa mbege kwenye ugali nkalewa lol...

Ila tumesameheana kabisa si ndio kaka?,.. yaliyopita si ndwele....
 
hata mgeni wa mwaka huu huu na ban tayari,
ni maadili eti eeh.
 
Back
Top Bottom