Ingawa maisha ni magumu sana kwa ujumla wake, lakini kuwa na mtoto mapema katika ujana naona ni bora mara elfu kuliko uzeeni.Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unawchoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana...
Yani ushawapangia watu kuzaa tayari, ila wazae ujanani au uzeeni?Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unawchoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana...
Cha Msingi ni kwamba umempata mtoto na umemuonaUnapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unawchoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana...
Upo sahihi kbsa mkuuIngawa maisha ni magumu sana kwa ujumla wake, lakini kuwa na mtoto mapema katika ujana naona ni bora mara elfu kuliko uzeeni.
Jamii kwa ujumla, nature kwa ujumla na hata Mungu kwa ujumla ndivyo inavyotaka viumbe wafanye.
Nje ya mada Sky Eclat ni kama ulipotea hivi kwa muda hatujakuona hapa, nafurahi sana kukuona.
Bibi mic u mnooo, [emoji8][emoji8][emoji8]Heri ya Pasaka