Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani.
Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili hadi kufikia hatua hiyo ya hatari.
Overdose ya madawa ya kulevya mara nyingi inahusiana na hali ya raha au ‘high’ inayotokana na dawa hizo, Unapomuona mteja wa dawa za kulevya udenda unamtoka kalegea baada ya kutumia, huwa yupo ulimwengu tofauti kabisa, yupo katika hali ya kujisikia raha
Wakati mtu anapotumia dawa za kulevya kwa kiwango kikubwa, dawa hizo huathiri uwezo wa ubongo kuwasiliana na mwili. Matokeo yake ni kwamba kazi za msingi kama kupumua zinaweza kupungua au hata kusimama kabisa.
Wakati kiwango kikubwa kinapotumika, ubongo unaweza kusahau kuendesha mfumo wa kupumua, hali inayojulikana kama "respiratory depression." Mtu anaweza kufikia hali ya kupoteza fahamu na hatimaye kufariki kutokana na kukosa oksijeni