Una mwanashdria lakin?kuna sura ya first lady fulani huwa inanijia!
Nikisiki neno nguva nakumbuka jinsi nilivyokiwa navua samaki pwani ya msumbiji ambapo msichana mrembo alikuwa anaogelea ufukweni alipotuona alitokomea zake majini. Nolijaribu kuruka majini Mzee mmoja alinishika Tanganyika jeki na kuniambia kuwa yule siyo mtu bali ni samaki Nguva.Nguva?????
Nguza Viki.Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi.
Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi
"ilikua ikifika siku za siku kuuu"
Kuna ule mstari.
Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"
Miaka inakimbia
RIP mkapa,
mtakumbuka na ule wimbo wa mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" RIP banza stone
Kwa upande wako hii ngoma ya babu seya inakukumbusha wapi??
mwana sheria wanini..?Una mwanashdria lakin?
I mean nguzaNguva?????
Siyo Nguza Viking?Nguza Viki.
Papii kocha (Jonson Nguza)
La hasha.Siyo Nguza Viking?
Hivi nguza alipiga pale?Mzoga alijeruhiwa hisia zake.
Hakika..... Ni Nguza Viking...Siyo Nguza Viking?
Yeah alikula jicho mpaka likawa kengezaHivi nguza alipiga pale?
Kuna kila dalili Mana Hadi leo wajuvi wanasema kufuli na funguo haviendani.Hivi nguza alipiga pale?
Kwamba msoga na mama lindi haziivi kivile? Au mim sijaelewa code?Kuna kila dalili Mana Hadi leo wajuvi wanasema kufuli na funguo haviendani.
Nadhani alitaka kuandika NguzaNguva?????