Unapotaka kuhama unatumia usafiri gani? na unaupata wapi? Ipo njia rahisi kama huwa unahangaika kutafuta gari ya mizigo yako

Unapotaka kuhama unatumia usafiri gani? na unaupata wapi? Ipo njia rahisi kama huwa unahangaika kutafuta gari ya mizigo yako

jetcargo255

New Member
Joined
Sep 29, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia,
au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika?

Kwanini upigwe kwa bei za ajabu? Kwanini usifanye mwenyewe?


USIISHI KIZAMANI
Mambo yamebadilika, kuanzia leo utasafirisha kidigitali, kwa bei nafuu na rahisi zaidi.
Tena ni kupitia simu yako tu na utaweza kupata gari aina zote kuanzia Semi-Trailers, Containers, Canter, Fuso hadi kirikuu.

Hatufichi chochote, wala huna haja ya kuulizia bei au gharama, vyote utavikuta jetcaro.

UKO TAYARI KUSAFIRISHA KIDIGITALI?
Download application yetu kupitia playstore, inapatikana kwa jina la Jet Cargo.

Bado huamini kama hili linawezekana?
Wasiliana nasi kwa maelezo na maswali zaidi kupitia:
WhatsApp:-
+255 752 558 921
 
Idea nzuri hii. Madalali wamekuwa vichomi sana kwenye hii sector. Mizigo yetu inakaa shamba muda mrefu sana kutafuta gari ya kupeleka sokoni. Nimejaribu ktk app ila results ni No truck.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom