Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

we me nipo 3rd year pale aru SCEM...! so jipangee
 
Usilolijua ni kama ucku wa giza,procurement bonge la course watu tunapiga mihela we subiri course za wanaume.........
 
asante mkuuuuuuu
 
bora procurement lingine linasoma socialogy au public administration..!

daaah.... dume linalo soma family consumer cjuiii lilikuwa linafikiria linii......... hhaah... mambo ya family waachie madada zetu bhana
 
daaah.... dume linalo soma family consumer cjuiii lilikuwa linafikiria linii......... hhaah... mambo ya family waachie madada zetu bhana

Tetetee hihihi mimi nikiwaambia wanabisha labda wewe duduz uwatoe ushamba wanaweza kukusoma
 
Basi kama mnataka kila mtu awe mwalimu basi haina maana ya kusoma, Ni heri watu wakimaliza form6 wafungue saloon za kunyoa nywele tu.
 
mi nimechaguliwa aquatic environmental science and conservation vp ajira zake ziko vipi?
 
mi nimechaguliwa aquatic environmental science and conservation vp ajira zake ziko vipi?

mkuu ukimaliza nenda JWTZ hiyo inahitajika balaaa na full mkwanja plus ma vyeo.!so ni ww tuu!
 
we me nipo 3rd year pale aru SCEM...! so jipangee
yaah nimepata course ya ndoto yang ambayo imekuja baada ya kuingia advance level --quantity surveyor/cost engenier by proffession from aru(uclas) na ndo ilikuwa chaguo langu la kwanzaaa! Ndoto oyeeeeeeeeeee ...kweli wewe ni 3rd year..point ya msingi wewe ni mwanafunzi tu..hujui kitaa kikoje..OVeR...!!!
 
1st year na 3rd year wote wanafunzii.! Kitaa chote nakijuaa, na kama kuhucu ajira hakuna utata nitajiajiri mtaji co tatizoo! Vp ww upo kitaa mwaka wa ngapi huu ili tukusaidie mawazo..!
NB: kutangulia co kufikaa, so unaweza kuwa umenitangulia kusoma lakini nikakupita kimaendeleoo!
 
Kwa mfumo wetu huu wa kuchagua kozi zaidi ya nane nakusikilizia TCU wakupangie mojawapo ya ulizoomba au hata ambayo hujaiomba.
Mtoa mada nadhani hutambui unaishi kwenye mfumo gani.
Kwa mfumo wa sasa si wakuwalaumu vijana kwa kusoma kozi wanzo soma, ladba wa kulaumiwa ni TCU kwani wao ndio wanaopangia kozi vijana wetu wa sasa.
Aidha usipende kudharau fani au kazi za watu, binadamu tupotofauti ingawaje kiimani tunaamini tumeumbwana Mungu sawa.
Pia binadamu wote hatuwezi kufanya kazi zinazofanana na kwa taarifa yako karibia kila kozi inamanufaa katika jamii, aidha na sio lazima ufanye kazi tz au uishi sehemu moja.
Mleta uzi ,Think globally my friend, you are very narrow minded person. Sorry for telling you that truth.
 
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!

halafu unajiita great thinker from udsm...! kijana acha maneno ya vibarazani! wewe ni mtoto wa kiume! hivi unafikiri watu wasiposoma hizi kozi maisha yatendaje..?

sasa wewe uliesoma finance soko lako liko wapi?

nakusikitikia sana kijana!!
 
Dogo acha dhihaka,no one knows the coming minute...huo mtaji (pesa) zako ni movable asset mda wowote inaweza kuvanish ,ukarudi kwa ofisi za watu kutafuta ajira then ukakutana na watu waliokutangulia sijui kama utasema hizo fedheha zako???
 
dogo acha kudandia treni kwa mbelee..! Sasa hapo sasa hapo nani kadhihakiwaa, kusema nina mtaji, au kumwambia nismsadie mawazoo..! dogo jiangaliee utachezeaa za usoo..! Overr
 
mkuu ukimaliza nenda JWTZ hiyo inahitajika balaaa na full mkwanja plus ma vyeo.!so ni ww tuu!

JWTZ sio rahisi kama unavyofikiri labda akasome B.A.LAW ENFORCEMENT akaajiriwe TANZANIA POLICE FORCE
 
mi mwenyewe niko education ila inalipa ktk xoko la ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…