Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

kwa wale mliomaliza ECA/HGE na EGM hakuna course nzuri kama BCOMEDucation ya st john's university maana hii course ukiachana na ualimu hata kazi ya uhasibu/financial controller au kazi za ugavi nazo unafanya hii ni kutokana na modules zake zilivyoshiba#

na lengo langu nikimaliza hapa naenda kupiga CPA
 
msaada gan mkuu! Sasa hujui kama utakuwa teacher

usistubutu kusona hiyo kitu hu nu ushauri wangu kwako na wengine msichague kozi i mradu uende chuo kuna baadhi y kozi zipo kwa ajili ya mtu wa taluma hiyo kijiendeleza s kumwandaa mtu akapambane na sko la ajirra hasa hizo B history B kiswahiili acha nazo utajuta
 
Wewe ndo great thinker sasa.
 
Vipi conflict resolution,family consumer,mid wifery

Akuna kozi mbaya wala nzuri nendeni mkasome kozi mnazopenda asiwatishe mtu na hakuna kozi ya msichana au mvulana tatzo watu wamekariri kuwa ukiwa maskini usome ualimu hii siyo kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…