Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

kwa wale mliomaliza ECA/HGE na EGM hakuna course nzuri kama BCOMEDucation ya st john's university maana hii course ukiachana na ualimu hata kazi ya uhasibu/financial controller au kazi za ugavi nazo unafanya hii ni kutokana na modules zake zilivyoshiba#

na lengo langu nikimaliza hapa naenda kupiga CPA
 
msaada gan mkuu! Sasa hujui kama utakuwa teacher

usistubutu kusona hiyo kitu hu nu ushauri wangu kwako na wengine msichague kozi i mradu uende chuo kuna baadhi y kozi zipo kwa ajili ya mtu wa taluma hiyo kijiendeleza s kumwandaa mtu akapambane na sko la ajirra hasa hizo B history B kiswahiili acha nazo utajuta
 
Mna vituko!!!,
mi nachojua MAISHA HAYANA FORMULA kinachohitajika ni UBUNIFU, KUJIAMINI na JITIHADA,

Mlioko vyuoni someni mkifikiria kujiajili zaidi kuliko kutegemea kuajiriwa, INAWEZEKANA 100% KUJIAJIRI HATA KAMA HUNA MTAJI, TUNAZO RESOURCE NYINGI SANA.
Wewe ndo great thinker sasa.
 
Vipi conflict resolution,family consumer,mid wifery

Akuna kozi mbaya wala nzuri nendeni mkasome kozi mnazopenda asiwatishe mtu na hakuna kozi ya msichana au mvulana tatzo watu wamekariri kuwa ukiwa maskini usome ualimu hii siyo kweli kabisa
 
Back
Top Bottom