bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Sadakta Nyani Ngabu!Pole sana.
Saa ingine unakuta hadi mtu anakupandishia kabisa.
Anaanza hadi kuponda kiasi ulichomkopa ilhali hawezi hata kukurudishia.
Hii dunia bana!
dah mi kuna mtu nilimpa laki sita baada ya kumdai sana akawa ananilipa elfu 50 mara elfu 30 dah hahahaaaaaaaa
Halafu, hebu tuache kujifanya wote ni wema sana humu.
Nina imani hata wazikaji wapo pia.
Tupate basi na ushuhuda wa ulivyomzika mshikaji wako hela zake.
Hahahaaaaa..lets keep it 100 folks.
Best nikopeshe laki moja na mimi loolHii post hii acha niandike kuna mmoja nlimpa laki 5 aongeze mzigo dukani kwake kanilipa laki 2 laki 3 ananiambia atanilipa tu miaka 3 sasa hata nimesahau kuulizia,kuna mmoja 384,000(huyu nilimlaza polic ekwa some reasons) alilipa bado 75000 ila ndo nishahesabia nimepoteza,Kuna wa million 4 huyu mpaka anamaliza deni nlipomtishia siku ya sendoff yake nitahakikisha namtia aibu ya karne ndo akalipa tena kasaidiwa na ukoo maana mara ya mwisho alinjibu mbovu sana ndugu zake wakaingilia kumlipia,kuna wa laki 4 huyu hajalipa hata senti ila mzr akaniambia achana na mpumbavu mtu mwenyewe degree ya upumbavu achana nae, Kuna mmoja nlimleta mjini na kumpa channel ya kazi na kumlimlipia kodi 480,000 na full furnitures nlimpa kwa muda akiwa sawa akinunua zake anirudishie zangu nimeambulia maneno ya shombo na hata kimoja sijapata ha ha ha ha wote walikuwa marafiki kweli kweli nagukuru hali ngumu ya JIwe maana vyuma vimekaza hata kuazimana pesa hakuna.
Kwenye pesa hamnaga urafiki jamani
Inamhusu yeyote aliyewahi patwa na hali hiyo.
Best nashukuru anko magu kabana mie mwenyewe tia maji tia majiBest nikopeshe laki moja na mimi lool
Saaana hadi alishangaa lakini hela yangu alinipaHahahaaaa!
Ilibidi uwe mkali eeh?
Sadakta Nyani Ngabu!
Ulikuwa umepotelea wapi?
[emoji16] [emoji16]nimepoteza marafiki wa tatu na ex girlfriend mmoja na pesa pia zimeenda nao....
hawa marafiki haina shida ila huyu ex popote ntakapokutana naye ntamzingua maana hela yenyewe aliyochukua nilisikia aliendaga kumlipia ada bwana ake mpya yani ndio hasira zinazid mamaeee
Imenikuta Mara tatu hii nimeapa kutokumkopesha rafiki mileleHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Imenikuta Mara tatu hii nimeapa kutokumkopesha rafiki milele
Hii imewahi nitokea nilimuazima rafiki angu kiasi Fulani cha pesa alipe ada maana chupuchupu asifanye mtihani wa mwisho. .urafiki ulishakufaga
Ingawa nimeshasamehe
Sijawahi hakika jamaa alinikopa hela ya harusi 2016 January mpk hii amenipa laki 2 laki NNE zote mpk Leo nikipiga cm kwake hapokei ni mwiko kwangu kumkopesha rafikiSema kweli. Wewe hujawahi mzika mtu hela zake?
Write your reply...Nimemkopesha mtu hela hanilipi ananipigia simu unaendeleaje nikamjibu naendelea kukudai na urafiki ufe usiponipa hela zangu
Mkubwa hata mie Msamaria nimeshapoteza vyote mara nyingi tu.
Siku hizi mtu akijakukopa namwambia bwana mkubwa, sitaki tuharibu urafiki wetu. Niahidi utanirudishia lini na sitakusumbua. Ila nimeshajiwekea kiwango cha kupoteza vyote.
Kuna pesa nazijutia sana. Mbaya zaidi kama ulivyosema, inafika kipindi unabembeleza kana kwamba wewe ndio unahatia, bado unaambiwa usinisumbue na pesa mbuzi yako...wabehi.
Mimi shogaangu aliniazima elifu20 lkn baada ya hapo mambo yangu yakawa magumu sana kwakweli hakunielewa ila najua nitamlipatu japo ushoga nikama haupo tena amenichukiaHalafu, hebu tuache kujifanya wote ni wema sana humu.
Nina imani hata wazikaji wapo pia.
Tupate basi na ushuhuda wa ulivyomzika mshikaji wako hela zake.
Hahahaaaaa..lets keep it 100 folks.