Unapotumia simu jihadhari na mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni

Unapotumia simu jihadhari na mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250730_222034_0000.png

Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.

Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla.

2_20250730_222034_0001.png

Hakikisha unazingatia mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni 👋

🚀 Ukiona link yoyote fikiria mara mbili kabla ujaamua ku click , jihadhari kufungua Kila email, link , message Mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii ili kuwa salama.

3_20250730_222034_0002.png

🚀 Pendelea kufanya update ya software zako, jitahidi sana mara kwa mara labda wiki mbili au tatu kuhakikisha kifaa chako unachotumia Kiko updated ili kuongeza usalama zaidi.

dbaacca468f35c6a83a20ff85f649a39.jpg

🚀 Jihadhari na Kila unachotuma kupitia mitandao ya kijamii, sio Kila kitu unachofanya unataka ulimwengu hujue jihadhari mengine keeps private mitandao ya kijamii Haina huruma itakuharibia.

6_20250730_222034_0005.png

🚀 Usipendele kutumia wifi za umma , sio mahali ukakuta wifi ni public unataka kutumia jitahadhari Kuna siku utazikuta picha zako 😃 zinatumika kwenye matangazo ya ngono, kamari nk.

5_20250730_222034_0004.png

🚀 Hakikisha una enable TWO factor authentication, hii itakusaidia sana kifaa chako kiwe kigumu kudukuliwa kwani 2FA itakusaidia kuweza kulinda Akaunti yako.

7_20250730_222034_0006.png

Kikubwa zaidi usisahau kutu follow kwa update Mbalimbali za Teknolojia kwa lugha nyepesi ya kiswahili 📡
 
Ipo kibiashara zaidi hii

USSR
 
Hhha hapa juzi niliwasha hotspot, nakuta Kuna kifaa tofaut kimeunganishwa nanisehemu ngeni,
Nazima nawasha jamaa linaconnect ikabid nichange pin ikawa fresh
 
Back
Top Bottom