Unapotumia simu jihadhari na mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
​

Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.

Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla.

​

Hakikisha unazingatia mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni πŸ‘‹

πŸš€ Ukiona link yoyote fikiria mara mbili kabla ujaamua ku click , jihadhari kufungua Kila email, link , message Mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii ili kuwa salama.

​

πŸš€ Pendelea kufanya update ya software zako, jitahidi sana mara kwa mara labda wiki mbili au tatu kuhakikisha kifaa chako unachotumia Kiko updated ili kuongeza usalama zaidi.

​

πŸš€ Jihadhari na Kila unachotuma kupitia mitandao ya kijamii, sio Kila kitu unachofanya unataka ulimwengu hujue jihadhari mengine keeps private mitandao ya kijamii Haina huruma itakuharibia.

​

πŸš€ Usipendele kutumia wifi za umma , sio mahali ukakuta wifi ni public unataka kutumia jitahadhari Kuna siku utazikuta picha zako πŸ˜ƒ zinatumika kwenye matangazo ya ngono, kamari nk.

​

πŸš€ Hakikisha una enable TWO factor authentication, hii itakusaidia sana kifaa chako kiwe kigumu kudukuliwa kwani 2FA itakusaidia kuweza kulinda Akaunti yako.

​

Kikubwa zaidi usisahau kutu follow kwa update Mbalimbali za Teknolojia kwa lugha nyepesi ya kiswahili πŸ“‘
 
Ipo kibiashara zaidi hii

USSR
 
Hhha hapa juzi niliwasha hotspot, nakuta Kuna kifaa tofaut kimeunganishwa nanisehemu ngeni,
Nazima nawasha jamaa linaconnect ikabid nichange pin ikawa fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…