Unaruhusiwa kuomba kazi taasisi nyingine baada ya kuajiri halmashauri hivi karibuni?

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
1,003
Reaction score
1,478
Wakuu habari!!

Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
 
Ngumu sana
 
Sasa huku Halmashauri tutabaki na nani?
 
Generally ni vigumu but nasikia kuna watu walipata tra wakatokea halmashauri
 
Sasa hakuna ukiomba unaandikiwa placed as ....... at .......
 
Back
Top Bottom