Unaruhusiwa kuomba kazi taasisi nyingine baada ya kuajiri halmashauri hivi karibuni?

Unaruhusiwa kuomba kazi taasisi nyingine baada ya kuajiri halmashauri hivi karibuni?

Ila halmashauri watu wamepauka sana asee,nimepita hapo halmashauri ya morogoro muda wa lunch nimeona jamaa wako chini ya miti wanapiga mihogo tu.
Mbona wewe unaonekana umepauka kifikra. Huoni bora wao wana nafùu ?
 
Wakuu habari!!

Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
Pameanza kuchangamka..
 
Back
Top Bottom