Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 1,003
- 1,478
Ngumu sanaWakuu habari!!
Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
Sasa huku Halmashauri tutabaki na nani?Wakuu habari!!
Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
Ndio inawezekana barua utapitishia kwa mkurugenzi wakoWakuu habari!!
Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
YAANI HALMASHAURI ITABIDI IOMBE KIBALI TENA CHA KUOMBA KWENYE KITENGO CHAKE MTU...Sasa huku Halmashauri tutabaki na nani?
uhamisho si hadi nipate nafasi sehemu ingine? nahama vipi sjui nahamia wapi?Ruksa, ila bora uangaikie uhamisho.
mtabaki na wengine mkuu..Sasa huku Halmashauri tutabaki na nani?
aisee iko ivo kumbeYAANI HALMASHAURI ITABIDI IOMBE KIBALI TENA CHA KUOMBA KWENYE KITENGO CHAKE MTU...
kwanini mkuu?? naomba maelezo walau kwa uchacheNgumu sana
Na kama uzoefu anao vipi ?Acha tamaa pata uzoefu kwanza hapo ulipo
Na kama uzoefu anao vipi ?
Acha zako afsa hale miogoIla halmashauri watu wamepauka sana asee,nimepita hapo halmashauri ya morogoro muda wa lunch nimeona jamaa wako chini ya miti wanapiga mihogo tu.