Unaruhusuje Mitaala ya nchi za magharibi itumike nchini halafu unayakataa Maadili yao?

Moja ya sababu za Russia kufanya operation yake dhidi ya Ukraine,ni kutokomeza utamaduni wa kimagharibi katika jamii ya warusi waliokuwa wanaishi Ukraine.Ukraine ilikuwa imisha anza kubadilisha mitaala ya shule iliyokiwa IPO katika lugha ya kirusi na kupandikiza mitaala ya kimagharibi.

Taifa lolote LA watu wanaojitambua hawawezi kuruhusu mitaala au ustaarabu wa mataifa mengine ndani ya Nchi yao.
 
Kongole kwako mkuu. Sasa hoja inakuja hivi; Kwa distance ambayo tumeshakwenda, kugeuza na kuanza kurudi tulikotoka ni mbali na ni gharama kubwa na halafu hatuko wamoja(hatuja simama pamoja) Kila mmoja anaimba wimbo wake.

Wapo wanaoamini na kuona kwamba kila kilichotoka magharibi ni kibaya(kitu ambacho ni dhana potofu kabisa) Wapo wanaoamini na kuona bora tuwe na mambo yetu wenyewe. Dhana hii ndo ya kipumbavu kabisa kwani Hatuko peke yetu hapa duniani au hapa sio "kisiwani" na hata hivyo hatuna chetu cha kipekee sana cha kuweza kujivunia.

Wapo wanaoamini na kuona kwamba tufanye kubalance mambo, tuchuje yale yaliyo mema(Yanayotufaa katika mazingira yetu) na tuibue mapya ya kikwetu zaidi kwa kutumia rasilmali zetu wenyewe. Hii ina mashiko zaidi lakini hoja inakuja, Je, wale "wawindaji" wanaotaka kujinufaisha binafsi tutawaweka fungu gani?- Uchu wa madaraka, Utajiri wa haraka -haraka, Umimi au wa-Kwetu huyu, Nidhamu mbovu n.k.

Lipo kundi la watu wa kiaina fulani ambalo ni hatari mno kwani hata lifanyike zuri kiasi gani wao hutoa Tasiri potofu na wapo negative saa zote na ni werevu mno kwa kupenyeza hoja fikirishi zisizo na ukweli wowote e.g. 1. Kuna ililetwa hapa, hoja ya watoto mashuleni kufundishwa kulawitiana - hivi kweli inawezekana? na huyo mwalimu atasimamaje hapo mbele ya darasa watoto say 45?. 2. Kwenye uzi huu wapo waliopindisha uzi na kupenyeza hoja ya Ushoga badala ya Mitaala ya Magharibi. Yan wao neno magharibi linamaanisha Ushoga.
Ni Tatizo na ni Fujo.

Viongozi na wenye dhamana ya kusimamia masuala yote ya Elimu watashindwa kutulia, kutafakari na hatimaye kupata njia mujarabu kwa Hatima ya Elimu italewayo hapa nchini.
 
Wazazi wa Tanzania wapo busy na CCM,hawana habari kuwa syllabus zinafundisha watoto wao ushoga huko mashuleni๐Ÿ‘‡๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
View attachment 2485772
Fainali juu ya upuuzi huo inachezwa AFRICA, na TANZANIA ndo main ground.

Dunia inaenda kujigawa pande mbili.

Wapinga Mungu na Waamini Mungu,

Ni Jesus followers Vs Anti Christ.

Freemasonry vs God believers.

Tusubiri.
 
Una uhakika hiki kimeanza kufundishwa mkuu?
Shule zipi hizo?
Kinafundishwa Marekani na Nchi nyingi Ulaya.

Na aliyewaaminisha wanawake kuwa Kuna SURUALI za kike alijua tutafika huko.

Kwa jinsi Serikali inavyotegemea mikopo ni ngumu kukataa Masharti hayo,

mabadiliko kiuongozi lazima yatokee kukabiliana na Hali hiyo.

Tuanze kujitegemea.
 
Tuanze kujitegemea kwa kiongozi yupi na mipango ipi?.
Tunapaswa kujitambua kabla ya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ