Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

VIJANA jadilini DP WORLD achaneni na connection ya TESSY CHOCOLATE, walio ona wanasema mengi lakini nakushaurini achaneni na watu waliochoka maisha.

Video yake imetudhalilisha sana wanwake na ukizingatia ipo tweeter nje nje na watoto wa sekondari na chuo wapo likizo yaani watu wanatumiana tu .
Tujenge nchi na sisi wanawake tusikubali sasa, tunapambana na sijui 50 kwa 50 ambazo hazisaidii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…