SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
K tamu asikuongopee mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VIJANA jadilini DP WORLD achaneni na connection ya TESSY CHOCOLATE, walio ona wanasema mengi lakini nakushaurini achaneni na watu waliochoka maisha.Watu wakiambiwa wapige kura kuchagua kati ya kuchakatana na kunywa bia. Mm nitakuwa mmoja wa watu watakao chagua kuchakatana na tutapata ushindi mkubwa sana.
Aliyesema bia tamu akafanye utafiti upya.
Ndiyo maana hata bia ikikolea inamsukuma mtumiaji aende kuchakatana, hii inamaanisha kwamba bia yenyewe inajua kuna vitu vitamu zaidi yake
Usifanye utani na kuchakatana.
View attachment 2031734