Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

kwani mc pilipili hii ndo id yako
 
Huyuu jamaa anaitwa Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku,alisoma Mzumbe University, kwa waliosoma Mzumbe kipindi chake hawezi kumshangaa,ndio tabia zake hizo!
Baba yake tunaishi nae Jirani pale morogoro karibu na chuo cha kiislamu, ni msomi mzuri Wa elimu ya dini baba yk,
 
Upo sawa kabisa dada,nakumbuka hata wakati anasoma Mzumbe alikua akiishi Morogoro
Baba yake tunaishi nae Jirani pale morogoro karibu na chuo cha kiislamu, ni msomi mzuri Wa elimu ya dini baba yk,
 
Upo sawa kabisa dada,nakumbuka hata wakati anasoma Mzumbe alikua akiishi Morogoro
Baba yk anaitwa ustaz barton, amejenga nyumba inatazamana na chuo cha kiislamu pale morogoro, ni majirani zetu, wamejenga pale miaka ya 1994 , Kwa kifupi ni majirani zetu pale morogoro, baba yake ni mwalimu wa elimu ya dini aswa, nimesikia sasaivi yupo vizuri kiuchumi huyo kijana, sijui Kweli, maana ni muda sijamuona uso kwa uso, ila namjua ananijua, tumekua wote.. ....huyo tangu udogo Wake ni mcharuko, ila wamekulia kimaadili aswa, baba yao anaheshimika pale
 
Jamaa ana kiherehere kweli wala sio uwongo.
Kuna kipindi chao cha mahusiano kama sikosei jina kilikua kinarushwa clouds kipindi flani sijui bado kipo, kama maigizo mafupi fupi. Ndio nilianza kumfahamu hapo
Ila ni muigizaji mzuri sana, kile kipindi kilikuwa konki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyuu jamaa anaitwa Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku,alisoma Mzumbe University, kwa waliosoma Mzumbe kipindi chake hawezi kumshangaa,ndio tabia zake hizo!
Yaaa ni tabia zake alipita mzumbe 2006 flan ndo akaingia,ila kujionesha kujiona right ndiko kulimgharimu kwenye matokeo lakin tania zake ndo katoboa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ