Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
Naona Sasa ni mshauri wa mahusianoIla maisha ya bongo bhana...
Mwaka juzi nilisikia jamaa kaacha mke huko kigoma na kazaa kabisa ila baada ya kuanza kuigiza kakutana na watoto wakali yule wakigoma akapiga chini ...
Kwa vile sifuatilii sana sikuumiza kichwa, leo naona anajadiliwa tena humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehe nimeona clouds anasema kamwendea mkewe kwa mganga afu sio dhambi,Naona Sasa ni mshauri wa mahusiano
AnaboaHehehehe nimeona clouds anasema kamwendea mkewe kwa mganga afu sio dhambi,
Ujuha wa kiwango cha juu, huu umaarufu wa bongo watu wanaopata hawastahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala tusibishane, tafuta hiyo hapo interview youtube, anaelezea historia yake, na anasema kilichomleta Dar ni elimu, na kasomea UD, kaeleza mkapa yeye ni mtoto wa ngapi, sijui wako wangapi nk, so tafuta hiyo hapo then ulete mrejesho, la sivyo kama kasoma mzumbe nayeye kasema kasoma UD atakua tapeliView attachment 1000280
Sent using Jamii Forums mobile app
Olio? Huyo Mwijaku ana kihere here hatari sana sijawai ona hahahaAliniacha hoi aliposema diamond akimuoa tanasha yeye atakunya Kuanzia sijui wapi hadi kariakoo.
kuna wakati alijifanya amefariki ili apate pesa.....ana ujanja ujanja mwingi.....hata huyo mkewe namuhurumia.Aliwadanganya alisoma mzumbe BPA 2006 na navyijua mm mwaka wa Pili alidisco labda baada ya hapo alienda UD
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni CAG
Mkuu sasa ulijuaje kama uyo kaunta akifunga anaenda kibo ķwa jamaa kumgonga? Au uliküa unamfuatilia nyuma nyuma?Huyu mshkaji tulikuwa tunakunywa nae sana kb pub tegeta alikuwa anamgonga kaunta flani pale siku hz naona kaondoka. Yule kaunta akifunga anaenda nae kibo then anaenda kumgonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sidhani hata kama shule ameenda!? Nimeangalia clip moja hapo juu, He talks like a layman hiviMkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
Kubali tu kuwa wajanja wengi wa mjini ni watoto wa kigoma.
Watoto wa kigoma wanajua kucheza na fursa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
Watu wa kigoma ndo walivo.Wengi sana nnaowajuwa Hapa ilala na magomeni ni waongeaji sana na kujifanya watoto wa town.Wakati wamefika town tunawaona na yebo yebo nnyekundu
Sent using Jamii Forums mobile app