Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?


Nchi za wenzetu huyu mjomba ana kesi ya kujibu mahakamani
 
Naenda kama steve nyerere nikiwa msibani, daftari likiniona linapata amani.
 
Yule bwana angelikuwepo enzi za ukoloni ndiyo angelikuwa JUMBE/ LIWALI
 
Huyuu jamaa anaitwa Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku,alisoma Mzumbe University, kwa waliosoma Mzumbe kipindi chake hawezi kumshangaa,ndio tabia zake hizo!
Naskia ali disco chuo huko, kwaio alikuja kubadili dini?
 
Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
Alivyodisko Mzumbe akaenda soma UDSM kumbe amesoma kozi ya kimama...hahahaa
 
Menina Ku bora niiweke mbele tu hiyo Ku maana kijana kaumbuka haswaa naule weusi kama KIWI alizooea kujirekodi na kuwa judge Instagram👙

Tweeter🐦 bado huyu kigogo2014
 
Nyumba anayokaa Bahari Beach hela ya kulipia kodi zaidi ya laki 5 inatoka kwenye kuigiza "Mahusiano" na RECHO?
 
Huyu jamaa tabia za kuvujisha video/picha alianza muda tu kipindi yuko Mzumbe alishavujisha za dada fulani alikua anatoka naye akamlewesha demu kazima akampiga sana picha za uchi akazirusha chuo,kipindi hicho hakuna smart phone kwahiyo ulikua unawasha Bluetooth unarushiwa,ulikua msemo maarufu sana kwa wakata kiu(watu wa Mzumbe wanaelewa maana ya kiu) unasikia Washa Bluetooth, alimchafua sana yule dada
 
Back
Top Bottom