Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
KM 150 si mchezo mkuu achilia mbali kwa lami, hat kwa changarawe tu,Babu tale na kalogeresi morogoro vijijini imewashinda barabara ya bigwa kisaki watu wanakaa siku tatu njiani wakati ni km 150 tu?
lakini mipango wanayo, na naona wanaisemea sana barabara hiyo



