Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Yule bwana aliyegombaniaga Kigamboni na Ndugu Paul Makonda, kipindi cha mwendazake na yeye ajiandae 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima- KaweJapo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana hawatakua na nafasi nzuri na ya uhakika kuchaguliwa tena katika awamu nyingine kwenye uchaguzi ujao....
Hii ni kuanzia kwenye mchujo wa vyama. Na hii ni kutokana na sababu mbalimbali, mathalani kutokuonekana jimboni kwa kipindi kirefu, kutokuonekana katika vikao vya bunge kuishauri, kupendekeza jambo au kuikosoa serikali, kutokuchangia chochote kwa maandishi au kuzungumza bungeni kwa niaba ya wananchi wake, kutokuonekana katika shughuli za kijamii kama vile misiba, mahafali, sherehe, dua na maombi jimboni, kutokushiriki shughuli za maendeleo, kutokuhudhuria vikao baraza la madiwani, wala kuitisha mikutano ya hadhara jimboni, kuzungumza na wananchi kuhusu uelekeo wa maendeleo ya jimbo na sababu nyingine za kiutendaji sisizo za kibinafsi, na kwahivyo mbunge hoyo awe na hekima na utulivu, pension yake aitumie vizuri kujijenga kimaisha, kuliko kuwekeza kutetea kiti cha ubunge.
Ni vizuri kuzingatia kumshauri mbunge na mwanasiasa wa jimbo lako, itapendeza zaidi.
Ikiwa mwanasiasa huyo bado anafaa, usisite kumtia moyo na kumshauri maeneo ambayo, yafaa ayafanyie kazi zaidi na kwa nguvu zaidi![]()
Kutakuwa na upungufu wa wabunge bungeni. Quorum haitatimia, kwa hiyo vikao vya bunge havitafanyika.Wabunge wote wa ccm wasigombee, ili tulione bunge litakaloongozwa na wapinzani nalo litakuwaje.
Mkuu naomba kazi [emoji4]1.Luaga Mpina.
2. Medard Kalemani.
3. Steven Byabato.
4. Gwajima
Rudi Halmashauri ukawe mwanasheria, kazi yako ya zamaniMkuu naomba kazi [emoji4]
Sawa boss[emoji4]Rudi Halmashauri ukawe mwanasheria, kazi yako ya zamani
Wacha utani kwenye mambo serious. Huyo Gwajima labda amechapa kazi juu ya kiuno chako, maana ana kitu kama mkono wa boxermbana anachapa kazi nzuri tu, wap kiongozi kachemka watu wa kawe?![]()