KM 150 si mchezo mkuu achilia mbali kwa lami, hat kwa changarawe tu,Babu tale na kalogeresi morogoro vijijini imewashinda barabara ya bigwa kisaki watu wanakaa siku tatu njiani wakati ni km 150 tu?
Hakuna mbunge hapoKM 150 si mchezo mkuu achilia mbali kwa lami, hat kwa changarawe tu,
lakini mipango wanayo, na naona wanaisemea sana barabara hiyo
Kinondoni aluponiwakilisha brysonkuna nini sasa,
nani akuwakilishe 2025 au unaona aibu kumtaja
Hii nini mkuu?
Sipendekezi mtu...maana wenye uwezo,vichwa vzr mfumo wenyewe hauwataki waingie hukounampendekeza nani asaidie, au ni kwasababu za kibafsi hafai?
Hawajaanza leo ni sarakasi miaka nenda rudi.KM 150 si mchezo mkuu achilia mbali kwa lami, hat kwa changarawe tu,
lakini mipango wanayo, na naona wanaisemea sana barabara hiyo
Labda we ukigombeausije kulaumu kuongozwa na asie faa
Hao wabaki kwenye proffesional zaovp maprofesa, mainjinia, wakulima, walimu na madaktari?