Unashauri 2025 Mbunge wa jimbo gani ajizuie kugombea tena kiti hicho kuepuka fedheha ya kushindwa?

Yule bwana aliyegombaniaga Kigamboni na Ndugu Paul Makonda, kipindi cha mwendazake na yeye ajiandae πŸ˜€
ametaftiwa kazi ingine kwa mashirika ya kimataifa, ni mstaarabu sana anajua kusoma alama za nyakati vizuri
 
Gwajima- Kawe
Mabula- Nyamagana
Taletale- Morogoro Vijijini
.................. - Bunda Vijijini hata Mbunge hajulikani ni nani.
Liz1- Chalinze.
Nape- Mtama
Mwigulu- Iramba Magharibi (Nadhani ndo Daktari mbumbumbu kuliko wote)
 
Ndugu mheshimiwa mpka sasa ivi bado hawajakutaja tu?πŸ™„
 
Mrisho Gambo anaenda kung'olewa na Nabii Godbless Lema.
 
Mrisho Gambo kazi yake ni kugombana na kila kiongozi.
 
mbana anachapa kazi nzuri tu, wap kiongozi kachemka watu wa kawe?
Wacha utani kwenye mambo serious. Huyo Gwajima labda amechapa kazi juu ya kiuno chako, maana ana kitu kama mkono wa boxer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…