Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Si unajifanyaga kutunanga wanawake umeona umuhimu wetu?? Hapo ukipona mdomo mrefu nyenyee “Wanawake hawana cha kutu offer zaidi ya ngono” mxiewwww
Na inatakiwa uje utuombe msamaha na kadi yako ya kataa ndoa unipe niichome moto 😂😂😂
 
Valentines huwa ni sikukuu za vijana wadogo wa under 30 huko..wewe mzee mzima na Valentines wapi na wapi?
 
Hakuna sikukuu (siku iliyo kuu) inayoitwa Valentine's day...ni mpango wa wazungu tu kubrain wash wajinga...
 
kadi yako ya kataa ndoa unipe niichome moto 😂😂😂
Heshima kitu cha buree....member akijitoa tunampa siku 90 za kufikiria kwa kina maamuzi yake na kwa ndani ya hzo siku 90 tunampatia mafuta ya aina zote na sehemu tulivu ya kujipa raha🤣🤣akibaki na msimamo huo huo bas anarudisha kadi tunamtoa kwenye magroup ya raha tupu akafie mbele bladifavkyen
 
Wakuu habari.

Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za kutosha pamoja na sindano zisizo hesabika.

Nimelala hapa kwenye kitanda cha hospital

Je, wewe unasheherekea ukiwa wapi?

Nb:mke ana thamani kubwa lazima nitaoa asee, mimi siyo wa kuogeshwa na nesi
Kuna wale wa kuangusha ndege wawili kwa jiwe moja,wanaandika happy valentine day hawataji jina.
 
Si unajifanyaga kutunanga wanawake umeona umuhimu wetu?? Hapo ukipona mdomo mrefu nyenyee “Wanawake hawana cha kutu offer zaidi ya ngono” mxiewwww
Na inatakiwa uje utuombe msamaha na kadi yako ya kataa ndoa unipe niichome moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe na hasira hupendezei
 
Pole, maendeleo yako vipi??
Vipi hawajakupa nurse mwenye bambataa akuogeshe leo.?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe niombee tuu maana hata kukaa na kuchuchumaa ni shida sana, nimekua wa kulala tuu kitandani, nimegeuka mtoto gafla na sikutegemea ipo siku nitakua hivi, nalishwa na mambo mengine kibao. Japo mdugu wameshafika ila najutia kukata kuoa. Yamkini mke wangu leo angelikua msaada mkubwa kwangu
 
Kwa Namna Ulivyomiibu Mleta Uzi Kuna Maneno Ungebaki Nayo Moyoni.

Hahijalishi Ulikwazika Kwa Kiasi Gani Katika Maisha Jitahidi Kuficha Uchungu/Hasira Itakusaidia Kuishi Vyema Na Utakuwa Mshindi Mahali Popote Pale.

Ubaya Haulipwi Kwa Ubaya Bali Ubaya Ulipwa Kwa Mema.


Mleta Mada Umemeuandikia Maneno Makali Sana Ambayo Kwa Mtu Aliyejitambua (Civilized) Hana Haja Ya Kusema Au Kuandika Mbele Za Watu.


kiaje boss
 
Back
Top Bottom