Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Wewe niombee tuu maana hata kukaa na kuchuchumaa ni shida sana, nimekua wa kulala tuu kitandani, nimegeuka mtoto gafla na sikutegemea ipo siku nitakua hivi, nalishwa na mambo mengine kibao. Japo mdugu wameshafika ila najutia kukata kuoa. Yamkini mke wangu leo angelikua msaada mkubwa kwangu
Unalishwa??? Halafu ww nawe jau sasa 😂😂😂 mbona unatype??
Vidole vya kushikia kijiko huna ila vya kutype unavyo?? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom