Wewe niombee tuu maana hata kukaa na kuchuchumaa ni shida sana, nimekua wa kulala tuu kitandani, nimegeuka mtoto gafla na sikutegemea ipo siku nitakua hivi, nalishwa na mambo mengine kibao. Japo mdugu wameshafika ila najutia kukata kuoa. Yamkini mke wangu leo angelikua msaada mkubwa kwangu