Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

When music was real...siku hizi hamna kitu
Hahaa... Its real, these days, music have just became a joke, FAST FOOD MUSICIANS releasing the whole bunch, without realizing "quality over quantity."
 
Mimi sikua najua yapi anapitia nakuja kuskia tu kafariki aisee ni huzuni yaani.
Yeah jamaa alioverdose hardcore drugs, na hii inatokea kwa watu wenye addiction. Ukiwa na addiction, inachukua muda, getting the high off drugs you used to consume. Kwa hiyo jamaa alichanganya kwa sababu kwenye autopsy walikuta jamaa ametumia drug zaidi ya moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…