Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Maskini...apumzike kwa amani.Yeah jamaa alioverdose hardcore drugs, na hii inatokea kwa watu wenye addiction. Ukiwa na addiction, inachukua muda, getting the high off drugs you used to consume. Kwa hiyo jamaa alichanganya kwa sababu kwenye autopsy walikuta jamaa ametumia drug zaidi ya moja.