Maskini...apumzike kwa amani.Yeah jamaa alioverdose hardcore drugs, na hii inatokea kwa watu wenye addiction. Ukiwa na addiction, inachukua muda, getting the high off drugs you used to consume. Kwa hiyo jamaa alichanganya kwa sababu kwenye autopsy walikuta jamaa ametumia drug zaidi ya moja.
RIP DMX.Maskini...apumzike kwa amani.
Wakina Tekashi[emoji16][emoji16]Hahaa... Its real, these days, music have just became a joke, FAST FOOD MUSICIANS releasing the whole bunch, without realizing "quality over quantity."
But music is subjective, keep looking you might find music that sticks with you.When music was real...siku hizi hamna kitu
Yeah, hao ni mainstream, lakini ukienda kwenye underground scene, utakutana na raw rappers, ambao wanaweza wasije kuwa mainstream, lakini wakafanya kazi nzuri zaidi.Wakina Tekashi[emoji16][emoji16]
Yes upo sahihi..ila kwa mimi kipindi hiki inabidi nipekue sana ndio napata mziki mzuri tofaut na zamaniYeah, hao ni mainstream, lakini ukienda kwenye underground scene, utakutana na raw rappers, ambao wanaweza wasije kuwa mainstream, lakini wakafanya kazi nzuri zaidi.
Music is accessible now, more than ever, kwa hiyo ukitaka muziki mzuri bado unaweza kupata. Ingawa you have to dig deep. Mimi naona maistream ndiyo mambo yamevurugika lakini bado kuna muziki mzuri sana, haswa kwa watu walio kwenye underground scene.
bonge la songi...
Ndiyo kwa sasa hivi inabidi utafute mziki mzuri, rappers wakali wapo wachache. Ingawa Youtube itakusaidia kupata muziki mzuri. Kwa sababu, unaposearch muziki ndiyo unapata suggestion za watu wengine zaidi.Yes upo sahihi..ila kwa mimi kipindi hiki inabidi nipekue sana ndio napata mziki mzuri tofaut na zamani
Yeah bro, you know, 6yrs ago. Its most definitely a classic.Classic 🔥🔥🔥
DMX kama masikhara yaan
RIP
DMX lives on. Long live DMX.[emoji1374]
Wacha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]