Hii naipenda mnoooo.
Noma sanaKid Cudi alikuwa anapitia mental health issues, alikuwa depressed kwa muda mrefu, hiyo ikasababisha hiatus kwenye carrier yake.
Jamaa hata ukimsikiliza album zake, utagundua anapenda kuandika depressing songs.
Nimewasikiliza sana Linkin Park miaka ya 2000 mwanzoni. Hivi unawafahamu Green Day ???Pamoja mkuu, Linkin Park ni band kali sana kuwahi kutokea. 🔥🔥