Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

BS 107.3 FM
20220417_014747.jpg
 
😂 sawa sawa mkuu, nice night kaka
Aisee, braza jana nilipinga kwasababu mtu anapokuwa kwenye ile kitu anakuwa kwenye mgogoro mkubwa sana wa nafsi.
Utulivu unaotakiwa kufanikisha ile kazi siyo wa dunia hii, lakini sasa wewe ukawa eneo lililojaa najisi za kila namna....
 
Najisi 😂😂 daaahhhh bro kwa hiyo Mimi nina utu na utulivu kwa sababu ya najisi 😁😁, nimekosa cha kucomment
 
Hahaha, hujanielewa braza! Ukiwa unafanya yale maombi huwa ni ngumu kukaa sehemu yenye unajisi kama JF.
Unaweza ukawa vizuri ghafla ukakatisha kwenye mtaa wa kimasihara kule, na mambo yote yakaharibika....
 
Back
Top Bottom