Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Hahaha, hujanielewa braza! Ukiwa unafanya yale maombi huwa ni ngumu kukaa sehemu yenye unajisi kama JF.
Unaweza ukawa vizuri ghafla ukakatisha kwenye mtaa wa kimasihara kule, na mambo yote yakaharibika....
Sasa mkuu mapadre wanakaa bar itakuwa kuvumilia hizi issue mtandaoni 😁.. Kingine kuepuka vitu ni sign ya udhaifu, unapambana navyo bila kuharibu misimamo binafsi hiyo ndio strength sasa
 
Inawezekana kaka na pengine huenda wewe umekomaa tayari, lakini binafsi naona ni jambo linalohitaji mazoezi mazito ya nafsi na nidhamu ya hali ya juu sana. Mfalme Daudi alichungulia kidogo tu akajikuta kabaka na kuua.........🤣
 
Kuanguka muhimu, usipoanguka utaoneshaje ubinadamu wako sasa kaka maana hata Yesu alilia machozi ya damu na kutamani kikombe kimuepuke . Udhaifu upo kwenye DNA haiepukiki Ila unajifunga kidogo ili usijiachie kama watu wa mataifa 😁
 
.
Screenshot_20220417-222313.jpg
 
Kuanguka muhimu, usipoanguka utaoneshaje ubinadamu wako sasa kaka maana hata Yesu alilia machozi ya damu na kutamani kikombe kimuepuke . Udhaifu upo kwenye DNA haiepukiki Ila unajifunga kidogo ili usijiachie kama watu wa mataifa 😁
Naam, umejibu vema sanaa!
 
Back
Top Bottom