MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nipo nasherehekea PASAKA!Nipo mkuu, naona upo lindo saa hii
Muhimu hiyo mkuu wangu, mimi nipo kwa bed nashindana kutafuta usingizi πNipo nasherehekea PASAKA!
Aisee, braza tafuta mtu wa kukulaza usingizi, dunia bado ni mahali salama! π€£Muhimu hiyo mkuu wangu, mimi nipo kwa bed nashindana kutafuta usingizi
ππ kaka unaweza jikuta unaongea na frateri anaemalizia novenaAisee, braza rafuta mtu wa kukulaza usingizi, dunia bado ni mahali salama!
Bwahahaha, braza utakuwa umeupiga mwingi sana!ππ kaka unaweza jikuta unaongea na frateri anaemalizia novena
Bwana awe nawe kaka japo naona umechangamka sana kama vile alc inasoma 40% kwenye damu πBwahahaha, braza utakuwa umeupiga mwingi sana!
Awe nawe pia kaka, nadhani siyo mida ntaondoka hapa....Bwana awe nawe kaka japo naona umechangamka sana kama vile alc inasoma 40% kwenye damu π
Ina maana huniamini kaka ππBwahahaha, braza utakuwa umeupiga mwingi sana!
Japo ni jambo gumu mno....
Same to you mkuu, hapa nasubiria saa nane nilaze huu ubongoAwe nawe pia kaka, nadhani siyo mida ntaondoka hapa....
HAPPY EASTER....
Daaah, ntakupa sababu zangu za utomaso kesho tukiamka kaka....Ina maana huniamini kaka ππ
π sawa sawa mkuu, nice night kakaDaaah, ntakupa sababu zangu za utomaso kesho tukiamka kaka....
Aisee, braza jana nilipinga kwasababu mtu anapokuwa kwenye ile kitu anakuwa kwenye mgogoro mkubwa sana wa nafsi.π sawa sawa mkuu, nice night kaka
Najisi ππ daaahhhh bro kwa hiyo Mimi nina utu na utulivu kwa sababu ya najisi ππ, nimekosa cha kucommentAisee, braza jana nilipinga kwasababu mtu anapokuwa kwenye ile kitu anakuwa kwenye mgogoro mkubwa sana wa nafsi.
Utulivu unaotakiwa kufanikisha ile kazi siyo wa dunia hii, lakini sasa wewe ukawa eneo lililojaa najisi za kila namna....
Hahaha, hujanielewa braza! Ukiwa unafanya yale maombi huwa ni ngumu kukaa sehemu yenye unajisi kama JF.Najisi ππ daaahhhh bro kwa hiyo Mimi nina utu na utulivu kwa sababu ya najisi ππ, nimekosa cha kucomment