Sasa mkuu mapadre wanakaa bar itakuwa kuvumilia hizi issue mtandaoni π.. Kingine kuepuka vitu ni sign ya udhaifu, unapambana navyo bila kuharibu misimamo binafsi hiyo ndio strength sasaHahaha, hujanielewa braza! Ukiwa unafanya yale maombi huwa ni ngumu kukaa sehemu yenye unajisi kama JF.
Unaweza ukawa vizuri ghafla ukakatisha kwenye mtaa wa kimasihara kule, na mambo yote yakaharibika....
Inawezekana kaka na pengine huenda wewe umekomaa tayari, lakini binafsi naona ni jambo linalohitaji mazoezi mazito ya nafsi na nidhamu ya hali ya juu sana. Mfalme Daudi alichungulia kidogo tu akajikuta kabaka na kuua.........π€£Sasa mkuu mapadre wanakaa bar itakuwa kuvumilia hizi issue mtandaoni π.. Kingine kuepuka vitu ni sign ya udhaifu, unapambana navyo bila kuharibu misimamo binafsi hiyo ndio strength sasa
Kuanguka muhimu, usipoanguka utaoneshaje ubinadamu wako sasa kaka maana hata Yesu alilia machozi ya damu na kutamani kikombe kimuepuke . Udhaifu upo kwenye DNA haiepukiki Ila unajifunga kidogo ili usijiachie kama watu wa mataifa πInawezekana kaka na pengine huenda wewe umekomaa tayari, lakini binafsi naona ni jambo linalohitaji mazoezi mazito ya nafsi na nidhamu ya hali ya juu sana. Mfalme Daudi alichungulia kidogo tu akajikuta kabaka na kuua.........π€£
SummerYoMuthi, ngoma kali mnoSummer Nini sijui ya Blac diamond
MnoooSummerYoMuthi, ngoma kali mno
SaaaanaaaSummeryoumuth
Kali sana
Kafubaa ya mzee wa bwax..ππππ
ππππ
Naam, umejibu vema sanaa!Kuanguka muhimu, usipoanguka utaoneshaje ubinadamu wako sasa kaka maana hata Yesu alilia machozi ya damu na kutamani kikombe kimuepuke . Udhaifu upo kwenye DNA haiepukiki Ila unajifunga kidogo ili usijiachie kama watu wa mataifa π
Huu ni wimbo na nusuUtu by Alikiba
Nitumie mkuuMnooo
Ahsante Sana