Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

IMG_7474.png
 
Gigi gaga Gigi gaga wa Diamond [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
It was big back then,.....
Sure mkuu, jamaa fundi sana, hata beat amesuka mwenyewe, maana hii nyimbo ilikuwa ni single ya kwenye album yake ya "Indicudi" aliyokuwa ameipika mwenyewe kuanzia mashairi mpaka beats.

Ana nyimbo yake moja ya Down and Out na yenyewe ni ngoma moja kali sana.
 
Back
Top Bottom