Unasikilizaje shida mpya wakati hujatatua ambazo zipo tayari mezani kwako?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake ni kero Bunge na spika wetu ni kero polisi wetu ni kero mwalifu kupewa uenezi ni kero
 
Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.

Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
 
Hiyo nihadithi ya kusadikika. Anatatua kero kwa njia gani?
Anawaita wenye kero au anawafuata yeye?
Kama wanamfuata wao huoni kama itakua na mizengwe mingi.
Ninasema hiyo imeshakua fursa kwa wapigaji. Wazee wa mipango watajifanya wanajua connection. Tukae kwakusubiri tutaona
 
Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.

Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Unajitahidigi kuandika kwa mpangilio lakini mda wote ni pumba tuu.
 
Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.

Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Sasa kama rais naye atapita kusikiliza kero, alichokuwa anafanya makonda kina faida gani?
 
Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero
Kweli kabla ya kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja ama kundi la watu wachache ili azitafutie ufumbuzi, ni vema akatatua kero hizi tatu za kitaifa.

Ukosefu wa:-
1. Ajira
2. Umeme
3. Maji.
 
Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.

Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Nifah mbona unakua trapped na hizi drama za viongozi wetu?

Hv unafikiri hizo kero anazoenda kuskiliza ambazo zinahitaji utatuzi kutoka serikalini hamna namna nyingine ya kuzijua mpaka aende direct?

Kero gani ni geni? Labda tuseme sisi waendesha maguta na vyombo vingine vya moto kero yetu kubwa ni bara bara kua na mashimo.... unafkir viongozi hawajui?
 
Kweli kabla ya kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja ama kundi la watu wachache ili azitafutie ufumbuzi, ni vema akatatua kero hizi tatu za kitaifa.

Ukosefu wa:-
1. Ajira
2. Umeme
3. Maji.
Naunga mkono hoja
 
Nifah mbona unakua trapped na hizi drama za viongozi wetu?

Hv unafikiri hizo kero anazoenda kuskiliza ambazo zinahitaji utatuzi kutoka serikalini hamna namna nyingine ya kuzijua mpaka aende direct?

Kero gani ni geni? Labda tuseme sisi waendesha maguta na vyombo vingine vya moto kero yetu kubwa ni bara bara kua na mashimo.... unafkir viongozi hawajui?
Mimi huwa naamini katika muda kuleta majibu sahihi.

Kwanini tusimpe nafasi? Kwanini tuanze kubeza jitihada mpya badala ya kuangalia ufanisi na matokeo?
 
Back
Top Bottom