MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Trump kuziita nchi zetu shit hole countries ni kutokana na upuuzi aliouona kwa watu wanaotuongoza. Changamoto za msingi zilizo wazi hazina majibu na bado unataka kusikiliza changamoto mpya. WTF.??!!! Kwenye mikutano yake ya hadhara alikataza wananchi wasiandike changamoto kwenye mambango then leo anatenga siku moja kila mwezi kusikiliza changamoto really???!!!! ok, BTW ameingia kwenye campaign mode na kusaka mvuto kutoka kwa wapiga kura wake.