Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
NHIF ni kero.Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake ni kero Bunge na spika wetu ni kero polisi wetu ni kero mwalifu kupewa uenezi ni kero
Hiyo nihadithi ya kusadikika. Anatatua kero kwa njia gani?Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.
Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Unajitahidigi kuandika kwa mpangilio lakini mda wote ni pumba tuu.Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.
Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Naunga mkono hojaUmmy na Biteko wenyewe wameshindwa kutatua kero za watanzania. Tena wenyewe wanakua kero.
Ashuhulikie hapo kwanza
Sasa kama rais naye atapita kusikiliza kero, alichokuwa anafanya makonda kina faida gani?Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.
Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Kweli kabla ya kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja ama kundi la watu wachache ili azitafutie ufumbuzi, ni vema akatatua kero hizi tatu za kitaifa.Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero
Nifah mbona unakua trapped na hizi drama za viongozi wetu?Lakini bado ni wazo zuri. Kero kama umeme na maji yapo tokea enzi tunapata uhuru, kuzimaliza kabisa sio ndani ya muda mfupi.
Tumpe nafasi kuona kile anaenda kufanya katika utaratibu wake huo mpya.
Serikali ni taasisi pana, yote yanawezekana ikiwa kuna mipango thabiti.
Naunga mkono hojaNi namna tu ya kuendelea kuwapumbaza wananchi
Naunga mkono hojaKweli kabla ya kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja ama kundi la watu wachache ili azitafutie ufumbuzi, ni vema akatatua kero hizi tatu za kitaifa.
Ukosefu wa:-
1. Ajira
2. Umeme
3. Maji.
Sasa Makonda ana mamlaka gani ya kutatua kero? Zile ni siasa tu.Sasa kama rais naye atapita kusikiliza kero, alichokuwa anafanya makonda kina faida gani?
Mimi huwa naamini katika muda kuleta majibu sahihi.Nifah mbona unakua trapped na hizi drama za viongozi wetu?
Hv unafikiri hizo kero anazoenda kuskiliza ambazo zinahitaji utatuzi kutoka serikalini hamna namna nyingine ya kuzijua mpaka aende direct?
Kero gani ni geni? Labda tuseme sisi waendesha maguta na vyombo vingine vya moto kero yetu kubwa ni bara bara kua na mashimo.... unafkir viongozi hawajui?
💯Ni namna tu ya kuendelea kuwapumbaza wananchi
Bado tuna safari ndefuKwanini tusimpe nafasi? Kwanini tuanze kubeza jitihada mpya badala ya kuangalia ufanisi na matokeo?