Akaaaaa Fanya uasherati wako mwenyewenjoo tukaribishe mwaka
Uchunguzi wa haraka hapo ngoma inapigwa dry
Hiyo username imenikumbusha kuna mtu alikuwa anatumia jina kama hilo sijui ni wewe.Enjoy it HF.
Huku Asia tumeuona mwaka tayari.
Sasa ni kunywa mpaka asubuhi.
Cc. Bavaria.
Hiyo username imenikumbusha kuna mtu alikuwa anatumia jina kama hilo sijui ni wewe.
Asante sana sie bado dakika chache tuuone
Hata hatukaribishani.......[emoji124]Sijui Nani unayomzungumzia. Mimi nipo Tokyo kitambo ila kwa sasa nipo Thailand kusheherekea mwaka mpya.
Wishing you all the best.
Hata hatukaribishani.......[emoji124]
Yeye alikuwa anaitwa tonkyo lakini na siku hizi simuoni
Huko sipawezi ngoja nikomae na bongo yangu tuKaribu kisiwani HF.
Bikini only huku!!!!
Mzinga wa 6? Acha utani mkuuMzinga wa 6 konyagi niko hapa Matako bar Arusha.
Huko sipawezi ngoja nikomae na bongo yangu tu
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Balimi yangu ya 6 hapa nasubiria huo mwaka
Kaka kuna mtu ama ameshaumia au anakwenda kuumia kwa mazingira haya,,duh hongera mbee