Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Enjoy it HF.

Huku Asia tumeuona mwaka tayari.

Sasa ni kunywa mpaka asubuhi.

5ef119b6911042b9c6a43dbd5c4d0943.jpg

3636226a45ff6afa948bce9a18a5ed68.jpg

Cc. Bavaria.
Hiyo username imenikumbusha kuna mtu alikuwa anatumia jina kama hilo sijui ni wewe.
Asante sana sie bado dakika chache tuuone
 
Hiyo username imenikumbusha kuna mtu alikuwa anatumia jina kama hilo sijui ni wewe.
Asante sana sie bado dakika chache tuuone

Sijui Nani unayomzungumzia. Mimi nipo Tokyo kitambo ila kwa sasa nipo Thailand kusheherekea mwaka mpya.

Wishing you all the best.
 
Sijui Nani unayomzungumzia. Mimi nipo Tokyo kitambo ila kwa sasa nipo Thailand kusheherekea mwaka mpya.

Wishing you all the best.
Hata hatukaribishani.......[emoji124]
Yeye alikuwa anaitwa tonkyo lakini na siku hizi simuoni
 
Kwa sisi wanywaji wa kila siku leo tumepumzika,tumewaachia waliozichanga Mwaka mzima kwa ajili hiyo,tutalianzisha tena keshokutwa maana wadundulizaji wote mtakuwa mnaugulia maumivu ya ukata
 
Nipo Thailand ( sikumbuki idadi. Ni saa kumi alfajiri. Nipo baharini. Happy New Year Tanzania!!!!)
 
Badala uombe na kumshukuru Mungu ww unawaza bia ya ngapi?
 
doh wengne hat maji kwakunywea hatuna ase.tupo ndani tuu
 
Back
Top Bottom