Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Natafuta hizi nyimbo kutoka kwenye album moja ya Aurlus Mabele ( hii album ninayo kwenye mfumo wa cassette) inaitwa "Elephants Ambiance" na hizi ndio nyimbo zilizopo
Tracklist:


1. Elephants Ambiance .
2. Tienbé Moin Fó
3. Elephants A Gagné
4. Motema Na Ngai

Haya naomba msaada hapo.
 
Mkuu naomba nyimbo za yule dada aliemba boyaye, nipe zote na wa boyaye ukiwemo
 
Back
Top Bottom