Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

pia naomba wimbo Maya kama ulivyoimbwa na Mafumu Bilal Bombenga
 
Mkuu rogaroga naomba niwekee nyimbo hizi; Sakina wa Kimulimuli Jazz Band, Freddy Nelson ya Extra Musica

Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.
 
Na pia nyimbo hizi, Mshenga na Tofiki zote za Juma Ubao aka King Makusa.
Mkuu rogaroga naomba niwekee nyimbo hizi; Sakina wa Kimulimuli Jazz Band, Freddy Nelson ya Extra Musica

Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.

Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.
 
Attachments

Mungu akupe maisha marefu!
Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…