nakupa hizi...
Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
nimezituma zipo page za nyuma
Much respect kwako kiongozi ndo wenyewehope unamaanisha huuu
Mkuu naomba uniangalizie huu wimbo Amour cherche amour wa Antoine Manana
Sent using Jamii Forums mobile app