Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.



Nje ya nyimbo za kicongo....tafadhari mwenye wimbo wa Mandojo & Domokaya na Lady Jaydee ule wa Wanafki nafki watu wa kupakazia...

Tafadharini sana nisaidieni kuupata maana huko google siuoni...
 
Habari za asubuhi wakuu.
Tafadhali naomba nyimbo Kali yaani hit song za msanii
Monique Seka.
Shukrani.
 
nimezituma zipo page za nyuma

Nimeziona mkuu
Lakini mbona umeweka chache mno!!!
Monika ana hit song Kali sana
Mkuu tafadhali nakuomba uongeze nyimbo zake nyingine Kali kabisaa.
Tafadhali nakuomba.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom