Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu nisaidie Kalayi boeng, filandu, Masuwa na nyingine kali za wenge zenye sauti ya jb mpiana, werrason na alain mpela afande
 
Mkuu nisaidie Kalayi boeng, filandu, Masuwa na nyingine kali za wenge zenye sauti ya jb mpiana, werrason na alain mpela afande
 

Attachments

Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
natafuat wimbo mmoja siuju jina ila una imbwa hii ''nalilieoo mama nangayeye ...mamaa nalelioooo''
 
Mkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
kibinda nkoi jaribu huo
 

Attachments

Mkuu natafuta audio (mp3) ya PONDERATION ya BLAISE BULA
 
Naomba kama kuna mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA Ktk albam yao ya ETAT MAJOR tafadhali naomba azitume hata kama zote
 

Attachments

Salimona naiomba hyo nyimbo ni ya south Africa HV ...mwanadada kaimba
 
Kuna wimbo Sikumbuki uliimbwa na nani, ila husikika kama hivi:

Lalala lala lalaa Lalala Lalalaa Kujiida men kujitemaa
Lala lalalaa Kijiida men kujiida men kujitema.

Maneno niliyoyaandika ukiachana hayo ya Lalala, sivyo yanavyotamka ila nimefananisha wajuzi wa nyimbo wanaweza gundua ni wimbo upi.

Kama mnaweza kuujua huu wimbo nauomba.
 
Mkuu kuna wimbo uliimbwa na Chezimba Band, una maneno ''nimeinama nimeinuka nimeokota kidude''Tafadhali ukitupatia uniform inbox please
 
Back
Top Bottom