Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu nisaidie Kalayi boeng, filandu, Masuwa na nyingine kali za wenge zenye sauti ya jb mpiana, werrason na alain mpela afande
 
Mkuu nisaidie Kalayi boeng, filandu, Masuwa na nyingine kali za wenge zenye sauti ya jb mpiana, werrason na alain mpela afande
 

Attachments

natafuat wimbo mmoja siuju jina ila una imbwa hii ''nalilieoo mama nangayeye ...mamaa nalelioooo''
 
kibinda nkoi jaribu huo
 

Attachments

Mkuu natafuta audio (mp3) ya PONDERATION ya BLAISE BULA
 
Naomba kama kuna mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA Ktk albam yao ya ETAT MAJOR tafadhali naomba azitume hata kama zote
 

Attachments

Salimona naiomba hyo nyimbo ni ya south Africa HV ...mwanadada kaimba
 
Kuna wimbo Sikumbuki uliimbwa na nani, ila husikika kama hivi:

Lalala lala lalaa Lalala Lalalaa Kujiida men kujitemaa
Lala lalalaa Kijiida men kujiida men kujitema.

Maneno niliyoyaandika ukiachana hayo ya Lalala, sivyo yanavyotamka ila nimefananisha wajuzi wa nyimbo wanaweza gundua ni wimbo upi.

Kama mnaweza kuujua huu wimbo nauomba.
 
Mkuu kuna wimbo uliimbwa na Chezimba Band, una maneno ''nimeinama nimeinuka nimeokota kidude''Tafadhali ukitupatia uniform inbox please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…