monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Ukiupata unishtue!Vile vile naomba wimbo wa Tongolanga unaoitwa'MPENZI SANURA'
kibinda nkoi jaribu huo
Uliupata huu wimbo mkuu?Huo wimbo baadhi ya mashairi yake yaliimbwa kwa kiswahili na baadhi ya mashairi yake ni ' ekibinda kibinda kibindae, ekibinda nkoi... ooh mwanamiae oooh mwanamiae, mwanakaleta muziki mwanamiae... nk