Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Jamani naomba wimbo fulani sijui jina lake na alieimba ila kwenye chorus kunakibwagizo hiki " danse(dance) danse(dance) eeeehh"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiJamani naomba wimbo fulani sijui jina lake na alieimba ila kwenye chorus kunakibwagizo hiki " danse(dance) danse(dance) eeeehh"
Safi
Ninao ila kesho pm watsap nikupe keshoMkuu unao?
Jamani naomba wimbo fulani sijui jina lake na alieimba ila kwenye chorus kunakibwagizo hiki " danse(dance) danse(dance) eeeehh"
bila shaka unamaanisha huuJamani naomba wimbo fulani sijui jina lake na alieimba ila kwenye chorus kunakibwagizo hiki " danse(dance) danse(dance) eeeehh"
Naomba loi wa koffi olomide na ule mmoja unataka wasanii wote was Kongo. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni ule wimbo wa dunia tunapita binadamu ni mchanga..vitabaki milele ni milima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeees mkuu ubarikiwe sanabila shaka unamaanisha huu