Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Roga Roga

Agiza chochote ulipo CORONA ikiisha nakuja kulipa, Mtoto wa Majalalani nimeutafuta mno! Yaan nipo zangu nautandika kwa sauti kubwa mno huku natabasamu saaaana!

Asante sana
 
Natafuta jina la msanii aliyeimba Wimbo unaitwa Marioo ni waki'Congo alaf Khaligraph Jones aliufanyia remix...unaimbwa hivi"Mario nalelioo ee..eeh..!!
 
Kuna wimbo wa ki'Congo sijui jina la msanii pia jina la wimbo silijui,ila unaimbwa hivi"Namchanaaaaa naiiiiiii denisiiiiiiii"alaf linapita beat daah nisaidieni wadau.
 
Bana Congo Tosimbana
Chief hii bana bacongo tosimbana maboko congo ilunga, vipi uliipata? Kama umeipata naomba post #

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Tupia wimbo wa Azalati Sehawa muimbaji simjui...
Mbuta mbutu Yondo Sister
Na nzuri zote za Pepe Kale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu wimbo wa Azlaki awa kutoka kwa Gatho beevan uliupata? Naomba post #

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
 

Attachments

Wakuu [emoji115][emoji116]Haya maombi yangu vipi??
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Mkuu Roga Roga kazi unayoifanya ni ya utumishi wa umma. I appreciate bro.
Nitafutie

1. Caterpillar- KM Echelon
2. Beya wangu- Ndanda Cossovo feat Ally Choki
3. Baba mkwe- Papy Kocha akiwa TOT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante chief.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Bila kusahau chief Roga Roga kuna ule wimbo wa Jean de Dieu Makiese (Madilu system) jina la wimbo ni Biya
[emoji120][emoji120][emoji120]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Filandu,noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…